Yoweri Museveni (sasa Rais wa Uganda) mkewe Janeth na mtoto wao mwanzoni
mwa miaka ya 1970. Picha hii ilipigwa Moshi mkoani Kilimanjaro ambako
Museveni alikuwa mwalimu katika Chuo Cha Ushirika Moshi. Museveni alikuwa
nchini pamoja na wasomi wengine waliokimbia Uganda baada ya Idd Amin
kuipindua serikali ya Milton Obote mwezi Januari mwaka 1971.
_______________________________________________
Ugandanet mailing list
Ugandanet@kym.net
http://kym.net/mailman/listinfo/ugandanet

UGANDANET is generously hosted by INFOCOM http://www.infocom.co.ug/

All Archives can be found at http://www.mail-archive.com/ugandanet@kym.net/

The above comments and data are owned by whoever posted them (including 
attachments if any). The List's Host is not responsible for them in any way.
---------------------------------------

Reply via email to